It will be shipped from our warehouse between Wednesday, June 26 and Thursday, June 27.
You will receive it anywhere in United States between 1 and 3 business days after shipment.
Maswali na Majibu (in Swahili)
Hinton, Carl
Synopsis "Maswali na Majibu (in Swahili)"
Wakati wa miaka hiyo ishirini alikuwa akiulizwa maswali mengi kutoka katika Biblia na maswali mengine yalitokana na imani zao kulingana na mafundisho, baadhi ya maswali yamerudiwa rudiwa kuulizwa. Inafikiriwa kuwa majibu ya maswali haya yatakuwa msaada wa maana sana kwa wengine kwa hiyo kitabu hiki kimeandikiwa ikiwa ni mkusanyiko wa majibu ya maswali ambayo yaliulizwa mara nyingi. Hii siyo njia ya kujaribu kuyajibu maswli yote ya viongozi wa dini, kwa hiyo; soma kitabu kiitwacho Maandiko Magumu kilichoandikwa na Ron Abel. Hiki kitabu kimekusudiwa ili kujibu maswali ya watu wa kawaida.