Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (in Swahili)
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (in Swahili)
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (in Swahili) - Truong, Paul ; Tan Van, Tran ; Pinners, Elise
Physical Book
$ 16.00
$ 20.00
You save: $ 4.00
20% discount
Envío gratis a todo Estados Unidos
Choose the list to add your product or create one New List
It will be shipped from our warehouse between Friday, June 21 and Monday, June 24.
You will receive it anywhere in United States between 1 and 3 business days after shipment.
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (in Swahili)
Truong, Paul ; Tan Van, Tran ; Pinners, Elise
Synopsis "Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (in Swahili)"
Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http: // www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.