Libros bestsellers hasta 50% dcto  Ver más

menu

0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional
portada Upepo, Mchanga, Anga: Hadithi Tatu (in Swahili)
Type
Physical Book
Language
Swahili
Pages
106
Format
Paperback
Dimensions
19.8 x 12.9 x 0.6 cm
Weight
0.11 kg.
ISBN13
9789987753147
Categories

Upepo, Mchanga, Anga: Hadithi Tatu (in Swahili)

Marc Eichen (Author) · Mkuki na Nyota Publishers · Paperback

Upepo, Mchanga, Anga: Hadithi Tatu (in Swahili) - Eichen, Marc

Physical Book

$ 21.05

$ 25.00

You save: $ 3.95

16% discount
  • Condition: New
It will be shipped from our warehouse between Wednesday, May 29 and Thursday, May 30.
You will receive it anywhere in United States between 1 and 3 business days after shipment.

Synopsis "Upepo, Mchanga, Anga: Hadithi Tatu (in Swahili)"

Katika miaka zaidi ya 20 ya kufundisha Kiswahili kwa wageni, sija-kutana na andiko la hadithi nzuri kama hizi alizoandika mwandi-ihi Marc Eichen. Ufundi wake wa kutumia vitushi halisi, na kuvis-ana kwa maumbo mbalimbali ya lugha ni wa kipekee! Hadithi tatu hizi ni mchango mkubwa katika ufundishaji wa Kiswahili na fasihi kwa wenyeji na ugenini. Zitawasaidia pakubwa walimu pamoja na wanafunzi kufahamu uhondo wa lugha za Kiswahili na Kiingereza kupitia vipengele mbalimbali vya lugha aliyotumia mwandishi. Ndugu Suleiman Khalfan na Abdulrahman Ndegwa vilevile wametoa tafsiri ya haki, wakilenga kabisa alichodhamiria mwandishi wa hadithi zenyewe.- Dr. David KyeuCoordinator and Continuing LecturerCenter for African StudiesUniversity of California, BerkeleyHadithi katika kitabu cha Upepo, Mchanga, Anga ni fupi, lakini zenye maana. Hadithi hizi zimejikita katika mandhari ya visiwa vya Zanzibar, Afrika Mashariki, taswira hizi za wazi zinamwalika msomaji kuandamana na wahusika wanaopitia changamoto za kibinafsi ndani ya eneo linalobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya kijamii na kiuchumi, utalii, na hata mabadiliko ya tabianchi. Kitabu hiki kita-wavutia wanafunzi wa Kiswahili na Afrika Mashariki kwa ujumla, na kwa upana zaidi, wale wanaotaka kuelewa mivutano ya kitamaduni na mabadiliko yanayohusiana na utandawazi.- Caitlyn Bolton, PhD Chuo cha Boston

Customers reviews

More customer reviews
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)

Frequently Asked Questions about the Book

All books in our catalog are Original.
The book is written in Swahili .
The binding of this edition is Paperback.

Questions and Answers about the Book

Do you have a question about the book? Login to be able to add your own question.

Opinions about Bookdelivery

More customer reviews